Saturday 28 September 2013

FURSA JIJINI MWANZA GOLD CREST HOTEL!!!!!

PICHA: Lulu akiwa jijini Mwanza kwenye semina ya FURSA. Apata nafasi ya kuzugumza na washiriki.

PICHA: Lulu akiwa jijini Mwanza kwenye semina ya FURSA. Apata nafasi ya kuzugumza na washiriki.
  • PICHA: Lulu akiwa jijini Mwanza kwenye semina ya FURSA. Apata nafasi ya kuzugumza na washiriki. 1
  • PICHA: Lulu akiwa jijini Mwanza kwenye semina ya FURSA. Apata nafasi ya kuzugumza na washiriki. 2
  • PICHA: Lulu akiwa jijini Mwanza kwenye semina ya FURSA. Apata nafasi ya kuzugumza na washiriki. 3
  • PICHA: Lulu akiwa jijini Mwanza kwenye semina ya FURSA. Apata nafasi ya kuzugumza na washiriki. 4
  • PICHA: Lulu akiwa jijini Mwanza kwenye semina ya FURSA. Apata nafasi ya kuzugumza na washiriki. 5
 
Tazama picha mbalimbali za mwadada Elizabeth Michael- LULU akiwa jijini Mwanza kwenye semina ya FURSA inayoandaliwa na kituo cha redio cha clouds FM.
Semina hiyo imeandaliwa kwa ajili ya wajasilimali mbalimbali mkoani humo waweze kuzitumia fursa mbalimbali zilizopo kwenye mazingira yao.
Lulu alikuwa mmoja wa wazungumzaji waalikwa wa semina hiyo.
28.09.2013 -  Tags:  Elizabeth Michael  lulu