Saturday 29 June 2013

MICHUZI: BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YAONGEZA MUDA WA MAOMBI YA MIKOPO KWA MWAKA WA MASOMO 2013/2014

MICHUZI: BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YAONGEZA MUDA WA MAOMBI YA MIKOPO KWA MWAKA WA MASOMO 2013/2014

How To Live a Happy and Satisfying Life































The most fulfilling thing in life is to have been able to give a large part of one’s self to others. Happiness varies from person to person.  Different things bring happiness to different people. There could be the satisfaction gained from work or the joy. It is a state of being that is becoming increasingly difficult to get and find. We have become a society geared towards materialism and self indulgence.

People struggle with mounting debt burdens but they still need luxury things. Children are bought up in a society where it is good to want, and woe betides the child whose parents cannot keep up with the latest wants. Have a believer in Change. Extend the border of your life. It is good to take care of others and other important things going on in your life but it is compulsory that you never forget about yourself.

Determine who you really are and what matters most to you.  It is not matter at all where we live on the planet. It doesn't matter how old we are, or what our gender is, or how successful or unsuccessful you think you are.

Living a great life does not just happen. It requires, planning and following those plans to a life that reflects who you truly are. Most people evade planning goals and dreams in their lives because they may have a fear of committing to it or failing. Listen to your inner voice. Trust in life. Trust your own internal perception. And above all trust the process of change that is at work in our world.


Thursday 20 June 2013

What Makes Someone Perfect?


I do a lot of writing at tea houses. It’s a great chance to people watch. For someone like me, who is fascinated with the interplay between people in various states of relationship, it’s a wonderful chance to take note of the way a guy acts when trying to woo a girl, or the shameless flirtation a girl employs to show a guy she’s interested.
Today, I watched as a young guy was chatting up a girl next to me. She was trying to inch her way out the door, and he was going on and on about the rain. She was polite, but not interested, and he was TOO interested. When she finally tumbled out the door, his friend indicated that his level of interest was just a bit too much. “Just a tad,” he said, illustrating the degree with his index finger and thumb.
I could only laugh. All too often I’ve been on either side of that scenario. Both sides are equally awkward. With age, I’ve come to learn that awkwardness and difficulty make for strange bedfellows. It should just be. It shouldn’t be easy or happy or organic or fun. It should just BE.
I’m not implying I know what it is that makes people perfect for each other. Is it really chemistry? Shared interests? Divine intervention? Or is it something far less identifiable? Something in the air. Something that happens only if we’re watching, like when we’re crossing the street -  he from east to west, and you, from west to east.
And then, in that moment, in the middle of a crowded street, you just know. And maybe it’s not even close to the fairytale you imagined. He’s not all that handsome, and you don’t get chills up and down your spine. And you’re wearing a craggy old sweatsuit and haven’t washed your hair in three days. But there it is.
That’s the way Haruki Murakami paints it in his story, “On Seeing the 100% Perfect Girl One Beautiful April Morning.” I’ve read it over and over throughout the years, and it strikes me as particularly curious. It’s certainly a very straightforward love story. In fact, it doesn’t even really appear to be a story about love. It’s a story about what is. What might be. What we see. What we miss.
What makes someone perfect? I don’t think it’s the shape of their nose, or the color of their jacket. I don’t think it has anything to do with how many gifts they give you or how many compliments they toss out during dinner. I think it’s something as invisible and indirect as what Murakami implies in this story. I think it’s about silence. And possibility. And timing. And openness. And lack of fear. And faith.
Yes, I think it’s about faith. Faith is perfect. Nothing else need be. Not even love. Love certainly isn’t perfect. But faith in love – that’s 100% perfec

LOVE STORIES

Maria and Ramiro

June 20th 2013
Maria has the sweetest smile.
She’s always walking around the office smiling at everyone – even on rainy days. In fact, if she isn’t smiling, my day always feels a little off center.
Lucky for me, that rarely happens. On average, I’d say Maria smiles 98% of the time.
Now I know why.
Maria has a happy and fulfilling relationship with her husband.
It’s not something I think – it’s something I can see. I can hear it in the way they explain how they met. I see it in the way he saves half his meal for her, or how she nudges his shoulder, then lets out a little giggle when he passes her the plate. I can feel it in the gentle way he plucks pictures from his memory – like how pretty he thought she was the day he first saw her, and how, even though he wouldn’t see her again for two years, he never forgot her face. My favorite part, though, is how he can’t stop smiling when he tells me the story – like it’s just now happening for the first time.
Maria didn’t see him that day in 2002, when he showed up for a church concert. But she did see him in 2004, when he came to a small group she was facilitating for professional single people.
“There she was again!” Ramiro smiles.
Sadly, Maria was seeing someone.
“In that moment, he was really respectful,” she recalls. “He never talked alone to me. He only said hello and goodbye – until I broke up with my boyfriend.”
Ramiro, who was friends with a woman Maria also knew, heard that Maria was now single. And even though this friend (who had a crush on him) was the one to reveal the news, he couldn’t help but exclaim, “That’s excellent news!”
And then the instant messenging fest began.
“I had all the friends from the small group in my messenger list,” she says. “So I added Ramiro in. This friend who told him we broke up, she always said wonderful things about him, how nice he was, how good he is with his family, how he pays attention to details. I always thought that was the kind of person I wanted. But she liked him, so I didn’t try to pry. In the small group we didn’t talk, but got to know each other through messenger. When I saw that he would sign in, it got me happy!”
Not long after, when Ramiro’s female friend realized he had his sights set on someone else, he was able to devote more time to cultivating the relationship he really wanted – the one with Maria.
Still, he didn’t really know he was doing this. Not even when he knew she took the bus all day, and asked if she wanted him to send a driver to pick her up, and when she said yes, he showed up – with chocolate! He didn’t know it when he invited her for coffee, and they talked for hours. And after he dropped her home, he called her, and they talked several more hours!
He didn’t know this because he had sworn off dating. He had a bad relationship he was still nursing. There was no room for more.
But he found himself talking about Maria a lot. He told his mother how pretty she was, how she went to the same church, how she’s a leader, how she dedicates herself to her studies.
And his mother said, simply: “She sounds like the perfect girl for you.”
Suddenly, he realized she was right.
Some days he would wait in his office until 9 p.m. just so he could pick Maria up after her classes. He even surprised her at work with Oreo cheesecake – with a big bottle of milk – because he knew how much she loved milk!
One night at dinner, he said, “I like you. I just wanted you to know that. I would really like it if we were more than friends. You don’t have to answer now, but I thought it was the right thing to tell you, so you know what to expect from me and know I’m not playing games.”
Maria, who had also had some bad experiences with dating, wasn’t thinking of starting anything new.
“I didn’t want to date,” she admits. “But then Ramiro showed up in my life.”
She remembers once, when she accidentally burned him with her coffee, and he told her to kiss him on the cheek, she felt butterflies.
So two months after getting to know each other as friends, Maria and Ramiro tossed aside their fractured hearts, and jumped in with both feet. Four month into their courtship, they were already talking about the future.
“We wanted to lay out our plan for the future,” Ramiro says. “So we started going to counseling at church.”
They’ll be married 5 years next week. And in that time, they have learned so much. Like how love is a choice, not a feeling. And how you want to give things to the person you love without expecting something in return. And how love transforms over time (and how that’s nothing to be afraid of).
“A friend told me long ago that if you want a charming prince, you have to be a charming princess,” Maria says. “You need to be the person you would want to be with. One of the things I love about him is he accepts me as I was, and as I am right now. Other boyfriends wanted my hair a certain way or for me to wear heels, and I was feeling like a trophy and it was not right. Ramiro loved me as I was, in my happiest and worst moments.”
Ramiro has learned a lot, too. Like how not to ask Maria why she’s crying.
“Sometimes I just want to cry,” she says, “and I don’t know why. At the beginning, he though he did something wrong. Then he learned to just hug me and let me cry.”
Ramiro has also learned that if you want big results, you need to have a long-term mindset.
“You have to put effort into a relationship,” he says. “It’s a journey. Many marriages fail because things are wonderful, then they wear off, and the real stuff is there. Finances, decisions, life choices. You have to talk it over, and if there are things that are deal breakers, you better find that out while you’re dating.
“It will never work perfectly. You have to compromise every day, in every thing. You need to talk things out and not make assumptions. There will be rough patches, but you need to have patience.”
I look at the two of them, sitting across from me, sharing their meals as well as their wisdom, and I think that they both have a lot of patience

HOTUBA YA BAJETI: MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2013-14

HOTUBA YA BAJETI: MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2013-14

Saturday 8 June 2013

KILA LA HERI TAIFA STARS



Timu ya Tanzania maarufu kama Taifa Stars leo inatupa karata yake katika michuano ya kufuzu kombe la Dunia nchini Brazili wanacheza na Simba wa Mlima ya Atlas katika uwanja wa Marrakesh.
Mungu ibariki Taifa Stars.

                                              Kila la HERI..

D'JARO ARUNGU: Simu chanzo cha maendeleo, ndoa kusambaratika.

D'JARO ARUNGU: Simu chanzo cha maendeleo, ndoa kusambaratika.

MAHABATI,,,SIKILIZA TAMU NA CHUNGU YA PENZI PART ONE,,,FAHAMU NINI KILICHOMSIBU MSICHANA MREMBO NIKITA,,,,,

MAHABATI,,,SIKILIZA TAMU NA CHUNGU YA PENZI PART ONE,,,FAHAMU NINI KILICHOMSIBU MSICHANA MREMBO NIKITA,,,,,

TAMU NA CHUNGU YA PENZI SEHEMU YA PILI,, SIKILIZA MUENDELEZO WA MKASA HUU WA MAISHA YA NIKITA KATIKA MAPENZI,, PIA HII NIMEWEKA NYINGINE KWASABABU KUNA WADAU WAMENIAMBI WALIKUWA HAWAISIKII VIZURI SASA UNAWEZA KUISIKILIZA VIZURI ZAIDI.

TAMU NA CHUNGU YA PENZI SEHEMU YA PILI,, SIKILIZA MUENDELEZO WA MKASA HUU WA MAISHA YA NIKITA KATIKA MAPENZI,, PIA HII NIMEWEKA NYINGINE KWASABABU KUNA WADAU WAMENIAMBI WALIKUWA HAWAISIKII VIZURI SASA UNAWEZA KUISIKILIZA VIZURI ZAIDI.

SIKILIZA SIMULIZI YA TAMU NA CHUNGU YA PENZI SEHEMU YA TATU ILI KUFAHAMU KILICHOMSIBU NIKITA

SIKILIZA SIMULIZI YA TAMU NA CHUNGU YA PENZI SEHEMU YA TATU ILI KUFAHAMU KILICHOMSIBU NIKITA

SIKILIZA SIMULIZI YA TAMU NA CHUNGU YA PENZI SEHEMU YA NNE ILI UFAHAMU NINI KILIENDELEA KATIKA MAISHA YA NIKITA.

SIKILIZA SIMULIZI YA TAMU NA CHUNGU YA PENZI SEHEMU YA NNE ILI UFAHAMU NINI KILIENDELEA KATIKA MAISHA YA NIKITA.

SIMULIZI YA MAHABATI....TAMU NA CHUNGU YA PENZI..... SEHEMU YA TANO NA YA MWISHO..SIKILIZA KWA UMAKINI UPATE KUFAHAMU NINI KILIMSIBU NIKITA

SIMULIZI YA MAHABATI....TAMU NA CHUNGU YA PENZI..... SEHEMU YA TANO NA YA MWISHO..SIKILIZA KWA UMAKINI UPATE KUFAHAMU NINI KILIMSIBU NIKITA

UKIMUONA MTU MZIMA ANALIA BASI UJUE KUNA JAMBO... LIMEMGUSA SANA KATIKA NAMNA TOFAUTI.

UKIMUONA MTU MZIMA ANALIA BASI UJUE KUNA JAMBO... LIMEMGUSA SANA KATIKA NAMNA TOFAUTI.

Kile unachoweza kukiwaza baada ya kumpoteza mtu wa muhimu katika maisha yako, ndugu, jamaa au marafiki.

Kile unachoweza kukiwaza baada ya kumpoteza mtu wa muhimu katika maisha yako, ndugu, jamaa au marafiki.

Thursday 6 June 2013


 


Dodoma — THE government has set aside 71bn/- in the 2013/14 financial year to supply electricity to all districts in the country in line with President, Jakaya Kikwete's promises during the 2010 election campaigns.

The Deputy Minister for Energy and Minerals, Mr George Simbachawene (Energy) told the National Assembly on Wednesday that the project will also cover Kasulu and Kibondo districts.

He also admitted that the national power utility company (Tanesco) was currently facing a challenge to connect all its customers because it has been overwhelmed by requests following the government decisions to lower connection charges effective January, this year.

He said that out of 133 districts in the country only 16 are yet to be supplied with electricity. These include the new districts of Kakonko, Uvinza and Buhigwe.He added that implementation of the project to connect these districts will start this year under the Rural Energy Agency (REA) second phase programme, on which, 10.32bn/- will be spent.

Simbachawene said the government was keen to overcome these challenges especially to ensure the supply of relevant material such as electricity poles and Luku metres were in place to meet the ever increasing connection demands.

He was responding to a supplementary question by Josephina Genzabuke (Special Seats - CCM), who inquired when the government would supply reliable power services to Kakonko, Uvinza and Bihugwe districts.

Meanwhile, at least 1,505 new customers in Lake Rukwa valley will be connected to power supply by Tanesco, the National Assembly was told here on Tuesday.

Mr George Simbachawene said that the government through Tanesco has already conducted a feasibility study for the project.

He said that the project would cover Muze, Mtowisa, Mfinga, Milepa, Kaoze Kipeta, Kilyamatuandu, Kilangawana, Kipenta and Nankanga villages and would cost a total of 5.44bn/-.

The project would see a total of 1,505 initial customers will be connected. Simbachawene said currently the government through Rural Energy Agency (REA) was soliciting funds for the implementation of the project.

He further said that Momba District Council has entered into an agreement with a US based company - CAMsky, for a power generation project at River Momba falls.


He said the project was due to start before the end of this year, adding that development at River Nzovwe falls still awaits an investor.The deputy minister was reacting to a question by Ignas Malocha (Kwela - CCM), who wanted to know when the government would provide power in Lake Rukwa valley

LAKE VICTORIA CONSERVATION PROGRAMME BEARS FRUIT

 











Bukoba — THE Lake Victoria Environmental Management Programme Phase Two (LVEMP 2) has positively increased the lake's water level from 1,139.98 metres during 2012 to 1,333.60 metres this year, it has been disclosed.

A senior water officer with the Lake Victoria Basin, John Ndalawa, said the results were due to concerted efforts by stakeholders to collectively fight environmental pollution.

Prime Minister Mizengo Pinda told Parliament in Dodoma recently that during 1999 Nile Perch species in Lake Victoria decreased by 60 per cent, while between 1999-2007 the fish decreased by 32 per cent and between 2007-2009, the fish reduced by 16 per cent.

He called upon all stakeholders to take a holistic approach to ensure the resources were well managed for the benefit of future generations.

He noted that there were indications that many fish species in Lake Victoria would become extinct within the next 30 years.
A recent study conducted by Accord Tanzania revealed that by 2048 there would be a big loss in fish resources in the lake.

There is increasing fish pressure and environmental pollution in Lake Victoria. If it is not well-managed there will be over-fishing, depletion of resources and loss of socio-economic benefits," he said.

Fish in Lake Victoria was being plundered at an alarming rate calling for urgent steps to save the resources. Pollution and environmental degradation has also led to extinction of more than 400 fish species in Lake Victoria over the last four decades.

The study revealed that Nile Perch stocks went down from 750,000 tons during 2005 to 337,000 tons in 2008. Tilapia also dropped from 27,061 tons to 24,811 tons during the same period.
The study also revealed that while there were over 400 fish species in Lake Victoria during 1920s, the number had dropped to almost zero with only three species available including Nile Perch (Sangara), Tilapia (Sato) and Sardines (dagaa).

"This is quite alarming. Joint effort must be taken to safeguard the resources," the Premier said. Lives of hundreds of residents in the Lake Victoria Basin (LVB) are in danger due to increasing pollution of the lake and eating poisoned fish.

The basin has an estimated population of 30 million. Over 30 million people in Lake Victoria Basin (LVB) could greatly improve their livelihoods if they utilise the abundant investment opportunities in the basin. Under the East African Cooperation Treaty, the basin has been categorised as an economic growth zone.

Available investment opportunities include agriculture and livestock, trade and commerce, fishing, mining, wildlife and tourism. Others are hydro-power generation, infrastructure development, human resources development, industries, research and technology.


Investigation conducted by the 'Daily News' on different fish landing sites had established that many fish species were facing extinction due to illegal fishing methods. In some cases unscrupulous fishermen were using poison to kill hundreds of fish.

Tuesday 4 June 2013

MAPENDEKEZO YA WANGOMBEA BINAFISI TZ


Mkuu wa tume ya marekebisho ya katiba Tanzania;
Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini Tanzania, imependekeza wawepo wagombea huru katika ngazi za uchaguzi mbalimbali nchini humo. Hayo ni miongoni mwa mapendekezo yaliyotangazwa jijini Dar es salaam na Mwenyeketi wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba wakati wa uzinduzi wa Rasimu ya Kwanza ya Katiba Mpya.

Jaji Warioba amesema pia wapo wananchi waliopendekeza kwamba, wagombea huru waruhusiwe kugombea nafasi zote isipokuwa nafasi ya urais. Jaji Warioba amesema tume ilipitia maoni hayo na kupendekeza kwamba, wagombea huru waruhusiwe kugombea nafasi zote kuanzia ngazi ya Mwenyekiti wa Mtaa hadi nafasi ya Urais.

Kadhalika Jaji Warioba amesema, Tume pia imependekeza kwamba, mgombea yeyote wa urais ili athibitike kuwa ni mshindi atalazimika kupata zaidi ya asilimia hamsini ya kura, na kwamba endapo mgombea hatafanikiwa kupata asilimia hamsini uchaguzi utarudiwa kwa kuangalia wagombea wawili waliopata kura nyingi.

Mapendekezo mengine yaliyotangazwa na Tume ni pamoja na kuwepo kwa serikali tatu yaani ya Bara,Zanzibar na ile ya Shirikisho.

Pia tume imependekeza kuwa, Bunge la Muungano liwe na jumla ya Wabunge 75, hamsini kutoka Bara, ishirini kutoka visiwani na watano wateuliwe na Rais kutoka makundi maalum ya walemavu.

Mapendekezo mengine ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ni pamoja na Rais kubakia na madaraka yake ya uteuzi wa viongozi wa ngazi za juu, lakini uteuzi wa ngazi za chini uachiwe Tume ya Utumishi.


Imeeleza kwamba, Rais mara baada ya kufanya uteuzi wa viongozi wa ngazi za juu wakiwemo, mawaziri, manaibu waziri, jaji mkuu na naibu jaji mkuu, viongozi hao watalazimika kuthibitishwa na Bunge. 

JAPANI KUGAWA DOLA 32 BILLIONI AFRIKA

Misaada hiyo ina nia ya kuboresha mazingira ya kukabiliana na kasi ya China.
Waziri Mkuu wa Japani, Shinzo Abe ameahidi kutoa msaada wa Dola 32 bilioni kwa Afrika katika kipindi cha miaka mitano kusaidia ukuaji wa uchumi kupitia sekta za serikali na binafsi. 

Abe ametoa ahadi ya masaada huo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kimataifa wa siku tatu kuhusu maendeleo ya Afrika unaofanyika katika Mji wa Yokohama nchini Japani.
 
Msaada huo unajumuisha utoaji wa Yeni 650 bilioni kwa ajili ya mikopo katika ujenzi wa miundombinu na mpango wa mafunzo kwa ajili ya vijana wa Afrika.
 
 
Abe alisema kuendeleza rasilimali ya nguvu kazi, huduma muhimu za matibabu na kukuza sekta ya kilimo ni mambo muhimu katika kuchochea ukuaji wa uchumi wa Afrika.
 
Alisema kile inachokihitaji Afrika ni uwekezaji katika sekta binafsi ambapo ushirikiano kati ya sekta za umma na binafsi utatoa fursa ya kufaidikia na uwekezaji huo.
 
Tangazo lake hilo linaonyesha shauku ya Japani kuchuana na China katika kuipatia msaada na kuwekeza Afrika, bara lenye utajiri wa maliasili.
 
Licha ya uhusiano wa muda mrefu uliopo kati ya Japani na Afrika, umuhimu wa Japan kwa bara hilo umekuwa ukipungua kulinganishwa na ule wa China ambapo kiwango chake cha biashara na Afrika ikilinganishwa na Japan ni mara tano zaidi na mara nane zaidi katika uwekezaji wa moja kwa moja.
 
China huwa haitangazi kiwango cha msaada wake wa maendeleo lakini ripoti zinadokeza kwamba hutoa hadi dola bilioni mbili kila mwaka.
 
Kiwango ilichotangaza Japani Jumamosi kimepita sana kiwango hicho cha China.
 
Uhusiano wa Japani kwa Afrika unatofautiana na mataifa mengine kwa bara hilo, alisema Abe katika kauli inayoonekana kuikusudia China

Mpango huo utawapa fursa vijana 1,000 wa Kiafrika kujifunza katika vyuo vikuu vya Japani na kujifunza kazi katika kampuni za Kijapani.

Sunday 2 June 2013

TAIFA STARS NA SUDAN ZATOSHANA NGUVU




Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imetoka sare ya bila kufungana na Sudan (Nile Crodcodile) katika mechi ya kujipima nguvu iliyochezwa leo (Juni 2 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Addis Ababa nchini Ethiopia.

Mechi hiyo iliyochezeshwa na mwamuzi Bamlak Tessema wa Ethiopia ilikuwa sehemu ya maandalizi kwa timu zote ambazo wikiendi ijayo zinacheza mechi za mchujo za Kombe la Dunia. Wakati Stars itakuwa ugenini nchini Morocco, Sudan itacheza nyumbani dhidi ya Ghana.

Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager ilicheza vizuri mechi hiyo, hasa kipindi cha pili ambapo ilifanikiwa kutengeneza nafasi kadhaa za kufunga lakini ama washambuliaji walipiga nje au mipira yao kuokolewa na kipa Ehab Abdelfatahh wa Sudan.

Washambualiji wa Stars akina Khamis Mcha, Mrisho Ngasa na Amri Kiemba wakiongozwa na John Bocco walilitia msukosuko mara kwa mara lango la Sudan ambalo lilikuwa chini ya beki wa kati Nadir Eltayeb ambaye alifanya kazi ya ziada dakika ya 72 kuokoa mpira uliokuwa ukielekea wavuni.

Stars katika mechi hiyo iliwakilishwa na Juma Kaseja, Nadir Haroub/Vicent Barnabas, Shomari Kapombe, Kelvin Yondani, Aggrey Morris, Frank Domayo, Mrisho Ngasa, Salum Abubakar, John Bocco/Haruni Chanongo, Amri Kiemba/Khamis Mcha na Simon Msuva/Athuman Idd.

Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Joram Biswaro amewataka wachezaji wa Taifa Stars kuhakikisha wanaipeleka timu hiyo kwenye fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwakani nchini Brazil.

Timu inaondoka kesho alfajiri kwenda Morocco kwa kupitia Cairo, Misri ambapo inatarajia kuwasili Casablanca saa 8 mchana.

Boniface Wambura
Ofisa Habari.

Saturday 1 June 2013

WAKATOLIKI SUA WASHEREKEA MAHAFALI YAO MWAKA 2013

        Michael Matambi graduates third year Agriculture Applied Extension 2013


          Peter Christopher graduates third year Bachelor of Rural Development

           Peter Christopher graduates third year Bachelor of Rural Development



Peter Christopher and Aloyce Makoye both are third year 2013 graduates (Bachelor of rural Development).

Add caption


























     Mwafunzi wakatoliki wa  Chuo Kikuu Cha Kilimo Sokoine mwaka wa tatu 2013 leo walikuwa wamesherekea mahafali yao yaliyofanyika katika Campus ya Mazimbu (Freedom Square)  mgeni Rasmi akiwa ni Baba Msaidizi wa Askofu (Padre Patrick Kung'alo) Jimbo Kuu katoliki la Morogoro 
        Jumla ya wahitimu 300 wametunukiwa vyeti na msaidizi wa Askofu Jimbo katoliki Morogoro.