Watanzania
husasan vijana wameshauriwa kujitokeza kwa wingi kuomba ufadhili wa
mradi wa kuwaendeleza wajasiriamali wa mfuko wa THE TONY ELUMELU
FOUNDATION
Mkuu wa masoko na mawasiliano wa benki ya UBA, JOSEPHINE LUKOMA
Watanzania husasan vijana wameshauriwa kujitokeza kwa wingi
kuomba ufadhili wa mradi wa kuwaendeleza wajasiriamali wa mfuko wa THE
TONY ELUMELU FOUNDATION unaosimamiwa na benki ya UBA hapa nchini.Mkuu wa masoko na mawasiliano wa benki ya UBA, JOSEPHINE LUKOMA amesema idadi ya watanzania walioomba kujiunga na mradi huo mwaka huu ni 17 tu ukilinganisha na nchi nyingine barani afrika.
Baadhi ya wajasirimali walioshiriki mkutano nchini NIGERIA ulioshirikisha wajasiriamali mbalimbali kutoka barani afrika, wamesema mradi huo umewapa upeo wa kufanya biashara kimataifa
No comments:
Post a Comment