Tuesday, 28 July 2015

Orodha kamili ya vyama vya siasa nchini Tanzania

Mfumo wa vyama vingi ni hali ya kuwa na chama zaidi ya kimoja,katika nchi moja.Madhumuni ya kuwa na vyama vingi vya siasa ni kuleta ushindani wa kisiasa,ili kuleta maendeleo ya nchi,upinzani wa kisiasa sio uadui kama watu wengi kwenye nchi zinazoendelea wanavyodhani,kuwa na vyama vingi ni kuongeza wigo wa demokrasia katika jamii huska.
Tanzania ni nchi yenye mfumo wa vyama vingi vya siasa uliorejeshwa katika katiba ya Tanzania mwaka 1992.
Chama tawala ni
Vyama vingine vya siasa Tanzania ni




























































#
Chama
Kifupi chake
Kimeanzishwa
1

Chama cha Mapinduzi (Chama Cha Mapinduzi)
CCM
1977
263
48
7
4
4
2

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
CHADEMA
1992
49
0
0
0
0
3

Civic United Front (Chama cha Wananchi)
CUF
1992
35
33
1
1

4

NCCR-Mageuzi (Chama cha Mageuzi na Ujenzi wa Taifa)
NCCR-M
1992
5
0
1
0
0
5

TLP
1993
1
0
0
0
0
6

UDP
1994
1
0
0
0
0
7

UMD
1993
0
0
0
0
0
8

NLD
1993
0
0
0
0
0
9

Attentive Democracy Party (Demokrasia Makini)
MAKINI
2001
0
0
0
0
0
10

UPDP
1993
0
0
0
0
0
11

NRA
1993
0
0
0
0
0
12

Democratic Party (Chama Cha Kidemokrasia)
DP
2002
0
0
0
0
0
13

TADEA
1990
0
0
0
0
0
14

Chama cha Haki na Ustawi (Chama cha Haki na Ustawi)
CHAUSTA
1998
0
0
0
0
0
15

PPT-MAENDELEO
2003
0
0
0
0
0
16

People's Voice (Sauti ya Umma)
SAU
2005
0
0
0
0
0
17

Traditional Dhow (Jahazi Asilia)

2004
0
0
0
0
0
18

AFP
2009
0
0
0
0
0
19

Social Party (Chama Cha Kijamii)
CCK
2012
0
0
0
0
0
20

Alliance for Democratic Change (Umoja wa Mabadiliko ya Demokrasia)
ADC
2012
0
0
0
0
0
21

Party for People's Redemption (Chama cha Ukombozi wa Umma)
CHAUMMA
2013
0
0
0
0
0
22

Alliance for Change and Transparency (Umoja wa Mabadiliko na Uwazi)
ACT
2014
0
0
0
0
0




























































ZAMU YAKO 2015















































































































1 comment:

Unknown said...

US Election LIVE : जीत के करीब पहुचे डोनाल्ड ट्रंप
Read more todaynews18.com https://goo.gl/MoCyRL